Nyumbani

Monday, March 26, 2012

HUBA MITHILI YA RUBA


HUBA MITHILI YA RUBA, MAHABA BILA SHULUBA.
IDHILALI BILA SHABA, KIKUKOSA MAHABUBA.
NAPENDA UKIWA SABA, KIUNGO NANE NAKABA.

No comments:

Post a Comment