LAAZIZI NIPO MBALI
LAAZIZI NIPO MBALI,SIJUI TARUDI LINI.
NAKUJULIA TU
HALI,NIMEKUHASI LAKINI.
NAJIHISI SI KAMILI,MBALI
NAWE MUHISANI.
PENDO LIHIFADHI
HALI,SIWAPE KINA FULANI.
NITUNZIE MAHALI,MIE
NARUDI MWANDANI.
USIDANGANYWE NA MALI, NA MIKOGO
YA MJINI.
Shairi zuri kwelikweli
ReplyDelete