VILE PENZI NAKUPENDA
VILE PENZI NAKUPENDA, KIKUKOSA NI GHADHABU.
NAJUA SIWEZI KONDA, JAPO NITAPATA TABU.
NITABAKI MEZA FUNDA, HUKU KIKOSA MAJIBU.
NAKUPENDA NAKUPENDA,WEWE NDIO WANGU MUHIBU.
KUNA KUSHUKA KUPANDA, MAISHA NI TARATIBU.
VUMILIA WANGU NYONDA,MIMI NDIO WAKO TABIBU.
No comments:
Post a Comment