Nyumbani

Monday, March 26, 2012

MOYO WANGU NI MCHANGA


PENZI HUJENGWA NA VINGI INGAWAJE SIVIONI,

TABASAMU TU HALITOSHI KUCHEKEANA USONI,

HISIA ZANGU ZA NDANI ZINAISHIA KIFUANI,

MOYO WANGU NI MCHANGA KUJIINGIZA PENZINI.

6 comments:

  1. Shairi zuri ila ubeti mmoja tu?

    ReplyDelete
  2. Shairi zuri ila ubeti mmoja tu?

    ReplyDelete
  3. hivi leo nasimama, kazi yako kupongeza,
    wastahili heshima, kazi yako imeweza,
    lakini shairi nzima, ulitunge nahimiza,
    natumai hutakoma,moyo wangu kuliwaza,

    SHUKRANI.

    ReplyDelete
  4. CHUSISAHAU NA WIVU
    APENDAO HUGUWA
    πŸ’•πŸ’•
    MAPENDI NI KULA MBIVU
    MOYONI KUPACHA DAWA
    πŸ’•πŸ’•
    MAHABA NI MASHUPAVU
    AKISHITADI HUVUWA

    πŸ™good morningπŸ™

    ReplyDelete