Nyumbani

Monday, March 26, 2012

JAPO NIOTE NDOTONI

PENDO LAKO SITOPIMA, RATILI UZITO TANI.
HUBA ZAKO ZANIKWAMA,NALEMEWA NA UZANI.
HAKIKA WEWE NI MWEMA,MPENZI WANGU MWANDANI.
 KHERI YA USIKU MWEMA,JAPO NIOTE NDOTONI.

No comments:

Post a Comment