Nyumbani

Monday, March 26, 2012

LISHE NIWAPO JANGWANI

PEKEE NI ABADANI, SITOWEZA ASILANI.
BILA WANGU MUHISANI, WA KUNIENZI NYONDANI.
KETI ZA KIBARAZANI, BARIZI ZA UPENUNI.
LISHE NIWAPO JANGWANI, BAKIA BAKI MWANDANI.

No comments:

Post a Comment