Nyumbani

Monday, March 26, 2012

KHERI YA MWAKA


MSHUKURU MOLA WAKO KUFIKA MWISHO WA MWAKA.
JUA SI UJANJA WAKO BALI YEYE ALITAKA.
MTUKUZE MUNGU WAKO NENDA KATOE SADAKA.
MBILI NA KUMI NA TATU UWE MWAKA WA BARAKA.
NAKUTAKIA NAFAKA NA PIA KHERI YA MWAKA.

No comments:

Post a Comment