Nyumbani

Monday, March 26, 2012

ZIJE MVUA NA JUA

KWAKO NIMEPATA PENZI MOTO ZAIDI YA JUA.
KAZI ZA NJE SIZITAKI NAOGOPA KUUGUA.
KWAKO TULI NIMERIDHI WENGINE WOTE PANGUA.
DAIMA DAWAMU NAWE ZIJE MVUA NA JUA

No comments:

Post a Comment