Nyumbani

Monday, March 26, 2012

KIDONDA CHANGU MWENYEWE

KIDONDA CHANGU MWENYEWE SIWEZI KUZIBA PUA.
JAPO CHANIPA KIWEWE KIKIUNGUZWA NA JUA.
TENA KIWEWE CHA MWEWE KIKIPATWA NA MVUA.
KIDONDA CHANGU MWENYEWE NTAKIOMBEA DUA.

No comments:

Post a Comment