KITAMBI KIMENIPONZA,SINA HAMU ASILANI.
KIMENIFANYA NAWAZA MAISHA SI YA
THAMANI.
MAHARI MARA YA KWANZA
NATAKIWA MILIONI.
WAKASHINDWA KUNIOZA KWA LAKI TANO JAMANI.
NIKAMPENDA SHARIZA ASILI YA ARABUNI.
ILE TU KUMPOSA DHAHABU ZA MILIONI.
NI KITAMBI SINA PESA MI KABWELA KAMA NINI.
KITAMBI KINANIPONZA NAKOSA MKE JAMANI.
No comments:
Post a Comment