Nyumbani

Monday, March 26, 2012

NYONYA KAMA NDIZI


SILIKA NA ZAKO POZI,KWELI SIISHIWI NJOZI.

TAKULAMBA LAKO CHOZI, UKILIA KWA MAPENZI.

MANENO NA ZAO TENZI, YASIKUTIE UCHIZI.

MENYA NYONYA KAMA NDIZI, PENZI LANGU LAAZIZI.

No comments:

Post a Comment