Nyumbani

Monday, March 26, 2012

ZILE SUNGURA NA FISI

ZILE SUNGURA NA FISI, HADITHI NILISHAACHA.
TENA KWANGU NI NAJISI, NA NDOTO ZA ALNACHA.
MAPENZI YA YANGU NAFSI, KWAKO SIWEZI KUFICHA.
SIPOKUONA NAJIHISI,KIDOLE BILA YA KUCHA.
PENDO LAKO MAKHUSUSI,NI MWANGA KILA KUKICHA.

No comments:

Post a Comment