Nyumbani

Monday, March 26, 2012

PENDO NI DHATI YA NAFSI



PENDO NI DHATI YA NAFSI LITOLEWAYO KWA MOYO.
HUTOLEWA KWA NAFASI TENA NI PASI NA CHOYO.
TAMU TENA BILA WASI WAWEZA ITWA POYOYO.
MAHABA SHINDA NANASI MMHH! RAHA MPAKA KWA MOYO.

No comments:

Post a Comment